Перейти к содержимому

KAMANDA MULIRO - "HUKUMU YA LISSU KUNA WATU WAMEPANGA KUFANYA FUJO"..

Global TV Online

0:00 / 0:00

KAMANDA MULIRO - "HUKUMU YA LISSU KUNA WATU WAMEPANGA KUFANYA FUJO"..

33 406 просмотров · 12 ч назад
Global TV Online
5,99 млн подписчиков
33 406 просмотров · 12 ч назад
KAMANDA MULIRO - "HUKUMU YA LISSU KUNA WATU WAMEPANGA KUFANYA FUJO".. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limetoa onyo kali kuelekea tarehe 6, likieleza kuwepo kwa taarifa za baadhi ya watu na makundi yanayohamasishana kutoka ndani na nje ya mkoa huo wakiwa na malengo ya kufanya fujo, vurugu, au hujuma mahakamani. 00:00 – Utangulizi 00:10 – Taarifa za mipango ya fujo na vurugu kuelekea tarehe 6 Novemba 01:10 – Polisi kuhusu haki ya kuhudhuria mahakamani na uwezo wa eneo 01:54 – Onyo kali kwa wanaopanga kutumia fursa hiyo kufanya vurugu 03:06 – Shukrani kwa wananchi na mafanikio ya oparesheni za mwezi Oktoba 03:50 – Kukamatwa kwa watuhumiwa wa wizi na uporaji kwa pikipiki 05:21 – Mtandao wa wizi na kubadili mifumo ya simu (flashing) 06:00 – Mrejesho wa kesi zilizofikishwa mahakamani na hukumu zilizotolewa 06:53 – Hukumu ya kifungo cha maisha kwa kosa la kulawiti 07:31 – Hukumu ya miaka 30 jela kwa unyang'anyi wa kutumia silaha na ubakaji 09:23 – Msisitizo: Polisi hawatavumilia uvunjifu wa amani Dar es Salaam 12:33 – Rai kwa wananchi kuheshimu sheria na taratibu za mahakama 14:09 – Tangazo: Masaka Schools #JeshiLaPolisi #DarEsSalaam #Habari #UlinziNaUsalama ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com