Перейти к содержимому

SHAMBA LA MIZABIBU - KATORO GEITA

Radio Maria Tanzania

0:00 / 0:00

SHAMBA LA MIZABIBU - KATORO GEITA

1 855 просмотров · 3 дня назад
Radio Maria Tanzania
99,4 тыс. подписчиков
1 855 просмотров · 3 дня назад
SHAMBA LA MIZABIBU - KATORO GEITA Karibu usikilize na kutafakari wimbo Shamba la Mizabibu ukiimbwa na Kwaya ya Mtakatifu Cesilia wa Parokia ya Mtakatifu Yosefu Mfanyakazi Katoro Jimbo Katoliki Geita, wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu Dominika ya 27, ya mwaka 'A' wa Kanisa, sambamba na uzinduzi kwa Kampeni ya Kapu la Mama Kijimbo katika Parokia ya Mtakatifu Yosefu Mfanyakazi Katoro, Jimbo Katoliki Geita. Misa Takatifu inaadhimishwa na Padre Benard Makutano, Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Yosefu Mfanyakazi Katoro Jimbo Katoliki Geita. Endelea kusikiliza Radio Maria Tanzania kupitia Masafa ya-: 📻GEITA 106.1 FM 📻SHINYANGA 99.9 FM 📻MUSOMA 92.9 FM 📻RULENGE NGARA 102.5 FM 📻BUNDA 92.9FM 📻MWANZA 106.1FMf 📻BUKOBA 104.9FM 📻KAYANGA 102.5FM 📻BARIADI 95.5FM . . www.radiomaria.co.tz #Radiomariatz #Sautiyakikristonyumbanimwako #Nambayakampuni100200 #Kumbukumbunamba18 #Kapulamama2026 #Upendoniushindi