Перейти к содержимому

PENDO LAKO // THIKA CENTRAL WOMEN MINISTRY CHOIR

THIKA CENTRAL WOMEN MINISTRY CHOIR

0:00 / 0:00

PENDO LAKO // THIKA CENTRAL WOMEN MINISTRY CHOIR

3 558 просмотров · 3 г. назад
THIKA CENTRAL WOMEN MINISTRY CHOIR
1,07 тыс. подписчиков
3 558 просмотров · 3 г. назад
LYRICS 1. Pendo lako Mungu wetu linapita Ufahamu, linashinda vitu vyote vya mbingu na dunia , wanadamu waliasi wakahurumiwa tena Yesu 'kawapatanisha 'kawasamehe 2. Hata muda utakuja Falme zote zitapita, Mawe nayo yataita hata watu wasiombe , Pendo lake halikomi Hata halina kipimo, ni neema kuokoa wenye dhambi nyingi Chorus :::: Rafiki aliyenifilia mbeleni , kwa kamba za pendo lake nimefungwa, Damu ikitiririka msalabani kule upatwe umesimama uoshwe dhambi zako