KARIBU YESU MOYONI MWANGU - KEY F# (Beginners' Piano Tutorial)
MWAMPASHI JR The Musician
0:00 / 0:00
KARIBU YESU MOYONI MWANGU - KEY F# (Beginners' Piano Tutorial)
266 просмотров · 1 месяц назад
MWAMPASHI JR The Musician
2,46 тыс. подписчиков
266 просмотров · 1 месяц назад
Katika tutorial hii utajifunza namna rahisi ya kupiga wimbo huu wa kuabudu kwenye Key F#, ukiwa mwanzoni kabisa katika kujifunza Piano.
Tutapitia chords na progression kwa hatua rahisi ili uweze kuufuata na kuutumia katika ibada, mazoezi na uimbaji wa sifa na kuabudu. 🙏🎹
👉 KEY: F#
👉 LEVEL: Beginners
👉 INSTRUMENT: Piano/Keyboard
Kama video imekusaidia, LIKE 👍, COMMENT 💬, SHARE 📲 na SUBSCRIBE 🔔 kwenye channel kwa tutorials zaidi za Piano na Bass Guitar kwa Kiswahili.
🎹 Mwampashi Jr the Musician — Jifunze, Fanya Mazoezi, Uwe Bora!
#KaribuYesuMoyoniMwangu #PianoTutorial #BeginnersPiano #KeyFsharp #PianoLessons #WorshipPiano #GospelPiano #SwahiliPiano #MwampashiJrTheMusician #LearnPiano