Перейти к содержимому

HAKUNA KAMA WEWE - KEY F# (Beginners' Piano Tutorial)

MWAMPASHI JR The Musician

0:00 / 0:00

HAKUNA KAMA WEWE - KEY F# (Beginners' Piano Tutorial)

294 просмотра · 3 нед. назад
MWAMPASHI JR The Musician
2,46 тыс. подписчиков
294 просмотра · 3 нед. назад
Katika tutorial hii tutajifunza kwa hatua rahisi jinsi ya kupiga wimbo wa kuabudu “Hakuna Kama Wewe” katika Key F#, kwa mtindo unaomfaa anayeanza kujifunza piano. Utajifunza: 🎹 Chords zinazotumika kwenye wimbo 🎵 Namna ya kuunganisha chords kwa urahisi 🎼 Playing style rahisi kwa beginners 🙏 Namna ya kutumia piano katika nyimbo za kuabudu Tutorial hii imeandaliwa kwa ajili ya Beginners, hivyo fuatilia hatua kwa hatua na kufanya mazoezi pamoja nami. 👍 LIKE | 💬 COMMENT | 🔔 SUBSCRIBE | ↗️ SHARE Mungu akubariki na akusaidie kuendelea kukua katika kipaji chako cha muziki. 🙏🎹 #HakunaKamaWewe #PianoTutorial #BeginnersPiano #KeyFsharp #WorshipPiano #SwahiliPiano