Перейти к содержимому

Historia ya BAKWATA mkoa wa Iringa, Sehemu ya 2 | Host Abbas Upete

AL-AQSA MEDIA ONLINE

0:00 / 0:00

Historia ya BAKWATA mkoa wa Iringa, Sehemu ya 2 | Host Abbas Upete

31 просмотр · 7 дней назад
AL-AQSA MEDIA ONLINE
8,55 тыс. подписчиков
31 просмотр · 7 дней назад
Katika kipindi hikl maalum, tumefanya masaili maalum na mmoja wa waanzilishi na Mdhamini wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (bAKWATA); Alhaj Omar Nzowa, ambapo ameelezea namna baraza hilo lilivyoanzishwa pamoja na changamoto linayokabiliana nazo hivi sasa. Aidha Alhaj Nzowa amefafanua faida za kuundwa kwa baraza hilo ikiwemo ujenzo wa miundombinu yake kama vile shule, zahanati na nyumba maalum za kusaidia walimu wa madrassah. Ungana nasi katika kipindi hiki na tunakualika utoe maoni yako bila kusahau ku-subscribe, Ku-like, Ku-share na Ku-comment. #mawaidha #darsa #bakwata #iringa #interview #specialprogram Kwa Swadaqa Yako Au Mawasiliano Zaidi Tupigie Kupitia Namba: +255 715 439 740 +255 735 600 002 Email: tanaqsa@gmail.com Instagram & TikTok: Al Aqsa Media Online