JE, NI UPI MUDA SAHIHI WA KUOA AU KUOLEWA? Fahamu majibu na hatua za kufuata - Sadaka Gandi.
Hub of Wisdom Inc.
0:00 / 0:00
JE, NI UPI MUDA SAHIHI WA KUOA AU KUOLEWA? Fahamu majibu na hatua za kufuata - Sadaka Gandi.
1 812 просмотров · 11 мес. назад
Hub of Wisdom Inc.
155 тыс. подписчиков
1 812 просмотров · 11 мес. назад
"Tunaongea habari ya kuoa na kuolewa, wengi wanachelewa kwasababu ya uoga. Pamoja na kwamba kwa tumesema ndoa haina formula lakini kuna best practises ambazo ukizifanya utaona matunda." Aunt Sadaka Gandi.
Katika video hii utapata kufahamu kuhusu madhara ya kuoa au kuolewa mapema, kuchelewa sababu zipi hupelekea na namna gani ya kushughulika nazo. Kutoka kwenye mlengo wa kisanyansi (kisaikolojia).
Kujenga mitazamo sahihi ya kimaisha na mitazamo sahihi ya ndoa kwa umaalumu.
Kumbuka kusubscribe ili upate maudhui kama haya wakati wote katika namna unayoipenda kwa mada unazopendelea.
......................................................................................................
Shiriki nasi maoni yako katika kurasa zetu za mitandao ya kijamii @hubofwisdom.inc au kuwa sehemu ya mijadala hii kwa njia whatsApp. Tuma neno WISDOM kwenda namba 0753825794.
Tembelea tovuti: www.hubofwisdom.com/media kujua zaidi
#kuoa #kuolewa #mahusiano #ndoa
#karibu_nyumbani