Hofu ya Kutumia Mifumo|Datapodcast|EP11|Eng. Kabenda Balete
Eng Kabenda Balete и BONGO BROTHERS
0:00 / 0:00
Hofu ya Kutumia Mifumo|Datapodcast|EP11|Eng. Kabenda Balete
2 409 просмотров · 4 месяца назад
Eng Kabenda Balete и BONGO BROTHERS
2 409 просмотров · 4 месяца назад
Wafanyabiashara wengi wanaogopa neno “mfumo” wakidhani inahitaji biashara kubwa au uwekezaji mkubwa. Lakini ukweli ni kwamba mfumo ni msingi muhimu wa kuweka biashara katika mpangilio, udhibiti na ukuaji.
Katika episode hii ya DataPodcast, tunazungumzia kwa nini mfanyabiashara hapaswi kuogopa kutumia mifumo ya kisasa kwenye biashara yake. Mfumo unasaidia kujua biashara inaingiza kiasi gani, bidhaa zinatembea vipi, fedha zinaenda wapi, na kama biashara inatengeneza faida halisi au inaendeshwa kwa makadirio.
Kwa kutumia mfumo kama #UzaDigit, mfanyabiashara anaweza kusimamia mauzo, stock, cash flow na kumbukumbu za biashara kwa urahisi zaidi, huku akifanya maamuzi kwa kutumia data sahihi.
Tazama episode hii ujifunze jinsi mfumo unavyoweza kusaidia biashara yako kukua kwa mpangilio, uwazi na uhakika.
#DataPodcast #EngKabendaBalete #UzaDigit #Biashara #SMEs #MifumoYaBiashara #Entrepreneurship