Перейти к содержимому

KOREA KASKAZINI YAVURUMUSHA MAKOMBORA YA BALISTIKI KUELEKEA PWANI YA MASHARIKI

Global TV Online

0:00 / 0:00

KOREA KASKAZINI YAVURUMUSHA MAKOMBORA YA BALISTIKI KUELEKEA PWANI YA MASHARIKI

1 924 просмотра · 10 ч назад
Global TV Online
5,97 млн подписчиков
1 924 просмотра · 10 ч назад
KOREA KASKAZINI YAVURUMUSHA MAKOMBORA YA BALISTIKI KUELEKEA PWANI YA MASHARIKI Korea Kaskazini imefyatua makombora kadhaa ya balistiki kuelekea baharini katika pwani yake ya mashariki, hatua inayoongeza mvutano wa kijeshi katika Rasi ya Korea. Kwa mujibu wa jeshi la Korea Kusini, tukio hilo limetokea leo, Oktoba 12, 2026, na kuwa jaribio la nne la urushaji wa makombora lililofanywa na Pyongyang ndani ya mwezi mmoja. Hatua hiyo imekuja wakati ambapo Korea Kaskazini na Korea Kusini zimekuwa zikifanya majaribio mbalimbali ya silaha, hali inayozidisha ushindani wa kijeshi kati ya mataifa hayo jirani. ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com