"USIMUULIZE MWANAMKE SWALI HILI, UTAHARIBU" Madam Leila Afichua Siri Nzito, Wanaume Wengi Hawajui!
SINGO MEDIA
0:00 / 0:00
"USIMUULIZE MWANAMKE SWALI HILI, UTAHARIBU" Madam Leila Afichua Siri Nzito, Wanaume Wengi Hawajui!
3 454 просмотра · 3 недели назад
SINGO MEDIA
75,1 тыс. подписчиков
3 454 просмотра · 3 недели назад
@MadamLeilaAbubakar
🤲 SAIDIA KUENDELEZA DA'WAH KUPITIA SINGO MEDIA
Assalaamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakaatuh.
Ikiwa maudhui ya Singo Media yamekuwa na manufaa kwako, unaweza kushiriki katika kuendeleza Da'wah kwa kutoa Sadaka kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya kisasa vya kurekodia na kurushia matangazo.
Namba ya kutuma Sadaka (Tigo Pesa / Yas):
📱 +255 677 074 468
Hakuna mchango ulio mdogo mbele ya Allah. Kwa idhini Yake, kila utakachochangia kitasaidia kuendeleza Da'wah na kufikisha elimu yenye manufaa kwa Waislamu na jamii kwa ujumla.
Jazakumullahu Khayran. Tunamuomba Allah (Subhaanahu wa Ta'aala) akubarikie, akuongezee riziki na auweke mchango wako katika mizani ya matendo mema. Aamiin.
#singomedia #trending #shorts #reels