Перейти к содержимому

Wanafunzi Rutabo Seminari waimba kushukuru WAWATA na Viongozi wa Kanisa- Bukoba

Radio Mbiu

0:00 / 0:00

Wanafunzi Rutabo Seminari waimba kushukuru WAWATA na Viongozi wa Kanisa- Bukoba

1 669 просмотров · 9 дней назад
Radio Mbiu
31,5 тыс. подписчиков
1 669 просмотров · 9 дней назад
HABARI PICHA|| MISA TAKATIFU KUWATEGEMEZA WANAFUNZI WA SEMINARI RUTABO - BUKOBA. Makamu wa Askofu Padre Faustine Kamuhabwa, Viongozi wa Wanawake Wakatoliki WAWATA, Jimbo Katoliki Bukoba, Bwana Charles Mwijage, wakikata keki baada ya adhimisho la Misa Takatifu ya kuwategemeza (Kunyonyesha), Wanafunzi wa Seminari ndogo ya Mtakatifu DonBosco-Rutabo. Misa Takatifu imeadhimishwa Agosti 15 2026 na Padre Faustine Kamuhabwa, Makamu wa Askofu wa Jimbo Katoliki la Bukoba, katika Parokia ya Mtakatifu Joseph -Rutabo, Jimbo Katoliki la Bukoba. www.radiombiu.co.tz #RmSautiYaFaraja See less