Utolewaji wa Sakramenti ya Komunio kwa baadhi ya wanafunzi wa Mtakatifu Michael - Kagondo
Radio Mbiu
0:00 / 0:00
Utolewaji wa Sakramenti ya Komunio kwa baadhi ya wanafunzi wa Mtakatifu Michael - Kagondo
232 просмотра · 12 дней назад
Radio Mbiu
31,5 тыс. подписчиков
232 просмотра · 12 дней назад
MISA TAKATIFU YA MAHAFALI SHULE YA MSINGI MT. MICHAEL KAGONDO BUKOBA
Ni Mahafali ya 11 ya Darasa la saba ya shule ya Msingi Mtakatifu Michael iliyoko Parokia ya Kagondo Jimbo katoliki la Bukoba.
Misa Takatifu ya mahafali hayo, imeadhimishwa na Monsinyori David Mubirigi, Paroko msaidizi wa Parokia ya Mtakatifu Karoli Lwanga – Kasherelo, Jimbo Katoliki Bukoba.
Katika Misa hiyo ya mahafali, imetolewa Sakramenti ya Komunio Takatifu pamoja na Sakramenti ya Kipaimara kwa wanafunzi wa shule hiyo.