Перейти к содержимому

Pikipiki za umeme Mombasa Kenya, faida na changamoto ni zipi?

DW Kiswahili

0:00 / 0:00

Pikipiki za umeme Mombasa Kenya, faida na changamoto ni zipi?

3 194 просмотра · 3 года назад
DW Kiswahili
337 тыс. подписчиков
3 194 просмотра · 3 года назад
Uimarishaji wa teknolojia na mabadiliko ni mambo yanayoshuhudiwa katika kila sekta ikiwemo usafiri wa bodaboda. Mjini Mombasa baadhi ya waendesha pikipiki wameshaanza kutumia #Pikipiki zinazotumia #umeme. Je faida na changamoto zake ni zipi? Mwenye una maoni gani kuhusu pikipiki za umeme? Hebu tizama vidio hii ya #Kurunzi kisha utupe maoni yako.