Перейти к содержимому

Pikipiki za umeme za Mombasa

K24TV

0:00 / 0:00

Pikipiki za umeme za Mombasa

606 просмотров · 3 года назад
K24TV
1,51 млн подписчиков
606 просмотров · 3 года назад
Kupanda kwa bei ya mafuta ya petroli na diseli kumekua kero kubwa kwa sekta ya uchukuzi nchini huku sekta ya uchukuzi wa bodaboda ikiwa miongoni mwa sekta ilioathirika zaidi. Ila hali ni tofauti kwa wale waliokumbatia mfumo wa uchukuzi wa pikipiki zinazotumia nguvu za stima almaarufu bodaboda za ruto- bonface msangi na mengi zaidi kuhusiana na mfumo mpya wa uchukuzi wa bodaboda na changamoto zake.