Перейти к содержимому

NIKO TAYARI KUFA KWA AJILI YENU. || PR.DAVID MMBAGA.

Imani hai🙏2

0:00 / 0:00

NIKO TAYARI KUFA KWA AJILI YENU. || PR.DAVID MMBAGA.

688 просмотров · 2 нед. назад
Imani hai🙏2
812 подписчиков
688 просмотров · 2 нед. назад
Somo hili limeandaliwa maalum kwa ajili ya wanadamu wote namna ambavyo kristo alikua tayari kufa kwa ajili yetu , ni wazi kabisa hakutaka wanadamu wote wapotee katika uovu wao bali alijitoa nafsi yake kwa ajili yangu na wewe ili mradi tu nafsi yako isije ikapotea milele. Ni Upendo huu mkubwa ambao MUNGU wetu aliamua kuuonesha kwa viumbe wake waliopotea. #imanihai2 #imaniyakweli ##prdavid #prmmbaga #sda #sdachurch #maombi #kanisalakristo #upendo #upendokwawote