HATUA MUHIMI 3 ZA MAFANIKIO || PR. DAVID MMBAGA
Erar Digital Academy
0:00 / 0:00
HATUA MUHIMI 3 ZA MAFANIKIO || PR. DAVID MMBAGA
225 просмотров · 5 ч назад
Erar Digital Academy
2,93 тыс. подписчиков
225 просмотров · 5 ч назад
Karibu kwenye channel hii inayokuletea maarifa ya kweli kuhusu uwekezaji, biashara, na mafanikio ya maisha kiroho.
Hapa utajifunza jinsi ya kuanzisha na kukuza vyanzo vya kipato, mbinu za uwekezaji kwa mazingira ya Tanzania, pamoja na mindset sahihi ya kufikia uhuru wa kifedha. Lengo letu ni kukusaidia kubadilisha maisha yako kupitia elimu ya fedha, nidhamu ya pesa, na maamuzi sahihi ya kifedha.
Tunazungumzia:
Uwekezaji kwa vitendo
Mawazo ya biashara za mtaji mdogo na mkubwa
Njia za kuongeza kipato (online na offline)
Financial freedom na personal growth
Motivation na success habits
Kama unataka kubadilisha maisha yako, kuongeza kipato, na kufikia mafanikio makubwa, basi hii ndio sehemu sahihi kwako.
Subscribe sasa na uwe sehemu ya safari ya mafanikio
#mahubiritv #prdavidmmbaga
#Uwekezaji #Biashara #ElimuYaFedha #FinancialFreedom #Mafanikio #Motisha #PersonalGrowth #BusinessIdeas #Entrepreneurship #Ujasiriamali #KujengaUtajiri #KuongezaKipato #NidhamuYaFedha #MoneyMindset #InvestmentTanzania #BiasharaTanzania #UwekezajiTanzania #MafanikioYaMaisha #SuccessMindset #FinancialEducation #PassiveIncome #OnlineBusiness #SmallBusiness #PersonalFinance #MaendeleoYaBinafsi #FursaZaBiashara #UhuruWaKifedha #Mindset #SuccessHabits #Tanzania