Перейти к содержимому

MFUMO WA ebod KURAHISISHA KAZI ZA MADIWANI ,WAWEZESHWA VISHIKWAMBIWI

BUNDA DC OFFICIAL

0:00 / 0:00

MFUMO WA ebod KURAHISISHA KAZI ZA MADIWANI ,WAWEZESHWA VISHIKWAMBIWI

176 просмотров · 6 мес. назад
BUNDA DC OFFICIAL
38 подписчиков
176 просмотров · 6 мес. назад
Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Bunda tarehe 9/4/2026 wamekabidhiwa vishikwambi (tablet),ishirini na tatu ikiwa ni hatua ya kuimarisha utendaji na kuendana na kasi ya matumizi ya teknolojia katika utendaji wao wa kazi Mwezeshaji wa mafunzo ,Bw Amos Kaunya amesema mbali na kuwakabidhi vishikwambi pia wametoa mafunzo ya matumizi ya mfumo wa ebod kwa madiwani wote Amesema mfumo wa ebod utaiwezesha tasisi kupunguza garama za kusambaza makabrasha,mafuta pamoja na kulipa posho ambazo Halmashauri ilikuwa inatumia kuendesha shuhuli za vikao Kwa upande wa Madiwani wameupongeza uongozi wa Halmashauri chini ya mkurugenzi George Stanley Mbilinyi kwa kuwaletea mfumo rahisi ambao kila mmoja itakuwa rahisi kupata taarifa na kufanya kazi popote alipo bila changamoto yoyote