Перейти к содержимому

CHEKECHE 17/10/2026 | Kabila kuibukia M23, Nani anamtumia mwenzake? Amani itarejea au itazorota DRC?

UTV Tanzania

0:00 / 0:00

CHEKECHE 17/10/2026 | Kabila kuibukia M23, Nani anamtumia mwenzake? Amani itarejea au itazorota DRC?

33 990 просмотров · 1 дн. назад
UTV Tanzania
186 тыс. подписчиков
33 990 просмотров · 1 дн. назад
Katika hatua ambayo imekuwa gumzo kwenye siasa za Ukanda wa Afrika ni kitendo cha Rais wa zamani wa DRC kutangaza rasmi kuungana na kundi la M23 na kuunda muungano wa FRN wakipingana na Serikali inayoongozwa na Dkt. Felixe Tshisekedi. Je, ni nini hasa kilichomsukuma Joseph Kabila kujiunga na kuongoza muungano wa FRN unaohusishwa na AFC/M23, na kwa nini amechukua hatua hii sasa? CHEKECHE inaliangazia hilo kwa kina.