WAHOUTH WAITETEMESHA SAUD ARABIA - SAFARI ZA NDEGE ZAFUTWA - WAONYA MASHAMBULIZI ZAIDI
Global TV Online
0:00 / 0:00
WAHOUTH WAITETEMESHA SAUD ARABIA - SAFARI ZA NDEGE ZAFUTWA - WAONYA MASHAMBULIZI ZAIDI
3 515 просмотров · 7 ч назад
Global TV Online
5,98 млн подписчиков
3 515 просмотров · 7 ч назад
WAHOUTH WAITETEMESHA SAUD ARABIA - SAFARI ZA NDEGE ZAFUTWA - WAONYA MASHAMBULIZI ZAIDI
Mashambulizi ya wanamgambo wa Houthi kutoka Yemen yamesababisha kufutwa kwa takribani asilimia 86 ya safari za ndege zilizopangwa kuondoka jijini Riyadh, Saudi Arabia. Taarifa zinaeleza kuwa mamia ya safari za ndege zimeathirika kutokana na hofu ya kiusalama katika uwanja wa kimataifa wa King Khalid pamoja na miundombinu mingine muhimu nchini humo.
#SaudiArabia #Wahouthi #Yemen #KingKhalidAirport #GlobalTVOnline #HabariZaKimataifa #Riyadh
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com