NETANYAHU AIONYA IRAN "-MSITUJARIBU" ADAI INAPANGA KUSHAMBULIA KUVURUGA UCHAGUZI
Global TV Online
0:00 / 0:00
NETANYAHU AIONYA IRAN "-MSITUJARIBU" ADAI INAPANGA KUSHAMBULIA KUVURUGA UCHAGUZI
4 164 просмотра · 5 ч назад
Global TV Online
5,98 млн подписчиков
4 164 просмотра · 5 ч назад
NETANYAHU AIONYA IRAN "-MSITUJARIBU" ADAI INAPANGA KUSHAMBULIA KUVURUGA UCHAGUZI
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ameionya vikali Iran na makundi yanayoshirikiana nayo dhidi ya mpango wowote wa kufanya mashambulizi yenye lengo la kuvuruga uchaguzi mkuu nchini humo. Netanyahu amesisitiza kuwa vikosi vya usalama vya Israel viko tayari kikamilifu kujibu shambulio lolote kwa nguvu kubwa.
Fuatilia uchambuzi na taarifa kamili hapa Global TV Online kujua undani wa mgogoro huu na maandalizi ya kiusalama Mashariki ya Kati.
Wasiliana na Global TV kwa Matangazo: Tangaza biashara yako na Global TV Online ili iwafikie mamilioni ya watazamaji ndani na nje ya Tanzania. Wasiliana nasi leo kupitia mitandao yetu au namba zetu za huduma kwa wateja.
#Israel #Iran #Netanyahu #HabariZaKimataifa #GlobalTVOnline
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com