MAGEREZA YAKANUSHA LISSU KUGOMA KULA - "YUKO SALAMA, MAWAKILI WAKE WANAMUONA"...
Global TV Online
0:00 / 0:00
MAGEREZA YAKANUSHA LISSU KUGOMA KULA - "YUKO SALAMA, MAWAKILI WAKE WANAMUONA"...
4 647 просмотров · 9 дн. назад
Global TV Online
5,99 млн подписчиков
4 647 просмотров · 9 дн. назад
MAGEREZA YAKANUSHA LISSU KUGOMA KULA - "YUKO SALAMA, MAWAKILI WAKE WANAMUONA"...
Jeshi la Magereza Tanzania limekanusha vikali taarifa zinazosambazwa kuhusu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, zikidai kuwa ameanza mgomo wa kula chakula na kuzuiwa kuonana na wanasheria wake akiwa gerezani.
Kupitia taarifa rasmi kwa umma iliyotolewa leo Oktoba 27, 2026, na Msemaji wa Jeshi la Magereza, SACP Elizabeth Mbezi, jeshi hilo limeeleza kuwa taarifa hizo si za kweli na zina lengo la kuleta taharuki. Taarifa imebainisha kuwa mahabusu Tundu Lissu yupo salama, hali yake ni nzuri na taratibu zote za kisheria ikiwemo kuonana na mawakili wake zinaendelea kufuatwa kwa mujibu wa miongozo.
Tazama video hii kufahamu kwa undani taarifa nzima na msimamo wa Jeshi la Magereza.
#TunduLissu #JeshiLaMagereza #Chadema #HabariZaHiviPunde #GlobalTVOnline
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com