Перейти к содержимому

#EXCLUSIVE: NYUMBANI KWA KAKA WA LISSU - HAWATAZIKA HADI HUKUMU YA LISSU IPITE- ''ANAPASWA KUZIKA''

Global TV Online

0:00 / 0:00

#EXCLUSIVE: NYUMBANI KWA KAKA WA LISSU - HAWATAZIKA HADI HUKUMU YA LISSU IPITE- ''ANAPASWA KUZIKA''

39 479 просмотров · 20 ч назад
Global TV Online
5,98 млн подписчиков
39 479 просмотров · 20 ч назад
#EXCLUSIVE: NYUMBANI KWA KAKA WA LISSU - HAWATAZIKA HADI HUKUMU YA LISSU IPITE- ''ANAPASWA KUZIKA'' Familia ya Mzee Alute Mughwai (kaka mkubwa wa Tundu Lissu) imeeleza sababu za kusubiri hadi hukumu ya kesi ya Tundu Lissu itolewe kabla ya kufanya taratibu za mazishi. Vincent Mughwai, mdogo wa marehemu, akizungumza akiwa nyumbani kwa marehemu eneo la Faya, Arusha, amefafanua kuwa marehemu alifariki akiwa na umri wa miaka 72 katika Hospitali ya Selian baada ya kuugua kwa muda mrefu. Katika mahojiano haya maalum, familia inabainisha sababu ya kusubiri uamuzi wa mahakama jijini Dar es Salaam kabla ya kusafirisha mwili kuelekea kijijini kwao Mahambe, Singida kwa mazishi. #TunduLissu #AluteMughwai #GlobalTVOnline #HabariZaTanzania #Msiba ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com