Перейти к содержимому

Mambo manne kuhusu Daraja jipya la Tanzanite linalopita baharini Dar haya hapa

Mwananchi Digital

0:00 / 0:00

Mambo manne kuhusu Daraja jipya la Tanzanite linalopita baharini Dar haya hapa

10 671 просмотр · 4 года назад
Mwananchi Digital
1,23 млн подписчиков
10 671 просмотр · 4 года назад
Hatimaye uwekezaji wa Sh234bilioni utaanza kutengeneza upya tabasamu la watumiaji wa barabara ya Ali Hassan Mwinyi na Barack Obama Jijini Dar es Salaam baada ya kukamilika Daraja la Tanzanite. Shughuli za matengenezo ya kumalizia mradi huo kwa sasa zinaelekea ukingoni na serikali inasubiriwa tu kwa hamu kubwa kufungua rasmi daraja hilo lililotarajiwa kuanza kutumika Disemba mwaka jana.