BREAKTHROUGH SERIES (SIRI YA KUPATA KIBALI MBELE ZA MUNGU) - DISCIPLE LEWIS MPOLI
Reality of Christ Arusha
0:00 / 0:00
BREAKTHROUGH SERIES (SIRI YA KUPATA KIBALI MBELE ZA MUNGU) - DISCIPLE LEWIS MPOLI
112 просмотров · 7 месяцев назад
Reality of Christ Arusha
2,95 тыс. подписчиков
112 просмотров · 7 месяцев назад
Karibu katika mafundishoyenye nguvu kutoka Reality of Christ Church Arusha (ROC Arusha). Hili ni somo kutoka kwenye Breakthrough Series ambalo linafunua siri ya kupata kibali mbele za Mungu ili kuingia katika breakthrough ya kweli katika maisha.
Kama ujumbe huu umekubariki, hakikisha umelike video hii, unaishare na pia subscribe kwenye channel yetu ili usikose mafundisho mengine yenye nguvu kutoka Reality of Christ Church Arusha.
Endelea kuungana nasi kwa:
• Sunday Service Arusha
• Worship Service Arusha
• Church Live Stream Arusha
• Ibada ya Jumapili Arusha
• Mahubiri ya Injili
• Maombi ya Nguvu
Tunakukaribisha sana uungane nasi katika ibada zetu za maombi na mafundisho ya Neno la Mungu.
Ibada zetu hufanyika:
• Kila Ijumaa saa 10:00 jioni
• Jumapili kuanzia saa 3:00 asubuhi
Mahali: Mbele ya geti la Eden Garden, barabara ya kwenda Sunflag, Njiro – Arusha. Karibu sana uwe sehemu ya kile ambacho Mungu anafanya katika Reality of Christ Church Arusha.
Kwa mawasiliano zaidi au kutuma sadaka yako, wasiliana nasi kupitia:
📞 0744 222 292
#ROCArusha #RealityOfChristChurch #BreakthroughSeries #MahubiriYaInjili