MAGOMA MOTO | Episode 01 - Nguvu ya ngoma za asili
Little Town Media
0:00 / 0:00
MAGOMA MOTO | Episode 01 - Nguvu ya ngoma za asili
286 просмотров · 8 мес. назад
Little Town Media
5,36 тыс. подписчиков
286 просмотров · 8 мес. назад
Katika Episode 01, tunaingia ndani kabisa ya safari ya Magoma Moto.
Hawa sio wacheza ngoma wa kawaida, hii ni sanaa yenye ujumbe, nguvu na mabadiliko ya jamii.
— kikundi cha ngoma za asili kutoka Bagamoyo, kinachotumia sanaa:
🔥 kuelimisha jamii
🔥 kuhamasisha maendeleo ya kijamii
🔥 kuitangaza Bagamoyo na Tanzania kimataifa 🌍
Ngoma zao si burudani tu — ni sauti ya jamii 🪘
📍Unapofika Bagamoyo, tembelea pia Kaole Zoo 🦁🌿
Kivutio kizuri kwa familia na wageni.
🔔 Subscribe • Like • Share
Usikose Episode zinazofuata
wasiliana nasi +255719304741.
instagram; / littletown_media