Перейти к содержимому

Sharif Boxing Gym | Kiwanda cha Mabingwa wa Bagamoyo.

Little Town Media

0:00 / 0:00

Sharif Boxing Gym | Kiwanda cha Mabingwa wa Bagamoyo.

383 просмотра · 7 мес. назад
Little Town Media
5,36 тыс. подписчиков
383 просмотра · 7 мес. назад
Sharif Boxing Gym Imekuwa moja ya nguzo muhimu katika ukuzaji wa vipaji vya ngumi hapa Bagamoyo. Katika makala hii, tunaangazia historia, nidhamu na mfumo wa mafunzo unaowafanya mabondia kutoka gym hii kung’ara ndani na nje ya nchi. Utamsikia moja ya viongozi wa Sharif Boxing Gym, ambaye pia ni mwamuzi wa kimataifa wa ngumi, akitueleza falsafa, changamoto na mafanikio ya gym hii. Aidha, utapata nafasi ya kusikia moja kwa moja kutoka kwa bondia wa kike bingwa wa dunia aliyetokea gym hii — akisimulia safari yake, jitihada zake na maana ya kuiwakilisha Bagamoyo kwenye jukwaa la kimataifa. Sharif Boxing Gym sio tu sehemu ya mazoezi, bali ni taasisi inayojenga nidhamu, uthubutu na mabingwa wa kesho. Karibu ufuatane nasi katika safari hii ya kipekee ya ngumi kutoka Bagamoyo hadi ulimwenguni. TEMBELEA @kaoleZoo🐍🐪🦓🦚🐢🐊 📍Bagamoyo Pwani Tanzania 🇹🇿 We are open 7days a week Call us for booking 📞0714 319 838 or whatsApp 📞0747 039 942 Karibuni sana!” Wasiliana nasi +255719304741. instagram;   / littletown_media