MUHIMBILI YAWEKA KAMBI YA MAGONJWA YA INI KUADHIMISHA SIKU YA INI DUNIANI
Muhimbili TV
0:00 / 0:00
MUHIMBILI YAWEKA KAMBI YA MAGONJWA YA INI KUADHIMISHA SIKU YA INI DUNIANI
141 просмотр · 4 месяца назад
Muhimbili TV
26,4 тыс. подписчиков
141 просмотр · 4 месяца назад
Hospitali ya Taifa muhimbili leo Aprili 20, 2026 imeanza kambi ya Siku mbili ya Uchunguzi na matibabu ya Magonjwa ya Ini itayomalizika kesho ikiwa ni kuadhimisha Siku ya Ini Duniani ambayo hufanyika April 19 kila mwaka.
Kambi hiyo inayofanyika bila malipo kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili Sokoine drive Medical Centre imelenga kupima magonjwa ya Ini, kutoa elimu na matibabu