💰❤️ WEWE NA MUMEO MNAWEZA MKAIMARIKA KAFEDHA KWA KUZINGATIA HAYA ~ Joel Nanauka (Part 2)
Hub of Wisdom Inc.
0:00 / 0:00
💰❤️ WEWE NA MUMEO MNAWEZA MKAIMARIKA KAFEDHA KWA KUZINGATIA HAYA ~ Joel Nanauka (Part 2)
1 329 просмотров · 11 дн. назад
Hub of Wisdom Inc.
152 тыс. подписчиков
1 329 просмотров · 11 дн. назад
JE, CHANGAMOTO ZA FEDHA ZINATIKISA AMANI YA NDOA YAKO?
Migogoro mingi ndani ya ndoa huanza au kuchochewa na changamoto za kifedha.
Joel Nanauka anakufundisha namna ya kukabiliana na changamoto za kifedha ndani ya ndoa, kujenga uelewa wa pamoja kuhusu pesa na kuweka misingi imara ya maisha ya familia yenye utulivu na maendeleo.
---------------------
#JoelNanauka #HWMEDIA #Ndoa #FedhaNaNdoa #MigogoroYaNdoa #UsimamiziWaFedha #ElimuYaFedha #Mahusiano #MaendeleoBinafsi