#LIVE:KADA MTIIFU WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM CUTHBERT,AWAPA ZAWADI YA MABATI WAHUDUMU WA AFYA MANAWA
TANZANIA HABARI - TH TV
0:00 / 0:00
#LIVE:KADA MTIIFU WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM CUTHBERT,AWAPA ZAWADI YA MABATI WAHUDUMU WA AFYA MANAWA
101 просмотр · 11 дней назад
TANZANIA HABARI - TH TV
1,88 тыс. подписчиков
101 просмотр · 11 дней назад
#ikulu #raissamia #ikuluzanzibar #raissamiasuluhuhassan #raissamiasuluhunews #ikulumawasiliano #ikulutanzania #wizarayamamboyandani #wizarayaulinzi #uvccmtaifa #ccmtaifa #ccm #rsmwanza
#rcmwanza
#kwimbadc
#wizarayaafya
#ccmmkoawamwanza
Wananchi wameiomba serikali kuongeza watumishi wa kada ya afya kwenye zahanati, zilizopo katika maeneo ya pembezoni, ili kuokoa maisha ya mama na mtoto.
Ni zahanati ya kijiji cha Manawa kata ya Kalalo wilaya ya Kwimba mkoa wa Mwanza, ikidaiwa kuwa na watumishi wawili, wanaohudumia zaidi ya wananchi elfu kumi na watatu.
Hatua hii ya kizalendo, inamgusa kada wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Mwanza Cuthbert Joseph, kwa kuwakabidhi mabati 40 watumishi wawili, baada ya kustaafu wakiwa wamehudumu bure kwa miaka 30.