KILA KIWANGO KWENYE MAISHA KINA GHARAMA YAKE,
Matiko Joseph
0:00 / 0:00
KILA KIWANGO KWENYE MAISHA KINA GHARAMA YAKE,
32 просмотра · 2 недели назад
Matiko Joseph
131 подписчик
32 просмотра · 2 недели назад
Kila kiwango cha maisha unachotamani kufikia kina gharama yake.
Na gharama hiyo siyo fedha pekee. Wakati mwingine ni commitment ya kubadilisha mwenendo wako, kuacha baadhi ya vitu unavyovifurahia leo, na kujenga nidhamu ya kuwa aina ya mtu unayetaka kuwa kesho.
Kwa sababu huwezi kutaka matokeo mapya huku ukiendelea kulinda tabia zinazokuweka kwenye matokeo ya zamani.
Mabadiliko yanahitaji sacrifice. Kuna nyakati utahitaji kusema “hapana” kwa kile unachotamani kufanya sasa, kwa sababu unajua kinaweza kukuchelewesha kufika pale unapotaka kuwa.
Na kama kuna tabia au mwenendo unaotamani kuacha lakini hujui uanzie wapi, endelea kuwa sehemu ya Mindset Hub. Tutazungumza zaidi kuhusu namna ya kutoka kwenye bad habits na kujenga mwenendo unaoendana na mtu unayetaka kuwa.
The life you want requires you to become the person who can live it.
🌱 JIUNGE NA MINDSET HUB
Community ya vijana wenye ndoto, maarifa na kiu ya kukua pamoja.
📩 DM “NIUNGE” ili ujiunge.
0756 040 955
Mindset Hub Group Link
🔗 [https://chat.whatsapp.com/HaVANyF26FA...]
Powered by PrintingMile
Building Brands. Building Minds.
Kwa Design, Printing, Branding & Custom Apparel - wasiliana nasi kupitia DM.
#BookInsights #MatikoJoseph #MindsetHub #PersonalGrowth