USIACHE KILA UNAPOCHELEWA KUONA MATOKEO.
Matiko Joseph
0:00 / 0:00
USIACHE KILA UNAPOCHELEWA KUONA MATOKEO.
27 просмотров · 7 дней назад
Matiko Joseph
132 подписчика
27 просмотров · 7 дней назад
USIACHE KILA UNAPOCHELEWA KUONA MATOKEO.
Kizazi chetu kinataka mafanikio ya haraka, kiasi kwamba tunaanza jambo leo na tukikosa matokeo ndani ya muda mfupi, tunahama kwenda jingine.
Lakini ukweli ni kwamba vitu vya maana vinahitaji muda, consistency na commitment.
Jitambue. Tafuta purpose yako. Tengeneza vision yako. Igeuze kuwa mission—kisha jipe muda wa kutosha kuijenga.
Badilisha strategy inapohitajika, lakini usibadilishe purpose kila unapochelewa kuona matokeo.
🎙️ Watch the full speech.
— Matiko Joseph
Personal Branding Coach & Business Strategist
🌱 JIUNGE NA MINDSET HUB
Community ya vijana wenye ndoto, maarifa na kiu ya kukua pamoja.
📩 DM “NIUNGE” ili ujiunge.
0756 040 955
Mindset Hub Group Link
🔗 [https://chat.whatsapp.com/HaVANyF26FA...]
Powered by PrintingMile
Building Brands. Building Minds.
Kwa Design, Printing, Branding & Custom Apparel - wasiliana nasi kupitia DM.
#BookInsights #MatikoJoseph #MindsetHub #PersonalGrowth