Перейти к содержимому

UHUSIANO WA RASHID BIN SLIM NA MZEE KARUME

ZANZIBAR YETU

0:00 / 0:00

UHUSIANO WA RASHID BIN SLIM NA MZEE KARUME

4 792 просмотра · 4 дня назад
ZANZIBAR YETU
10,8 тыс. подписчиков
4 792 просмотра · 4 дня назад
Mwera Kiongoni ni kijiji cha kale kilichopo Wilaya ya Kati, Unguja, kinachobeba kumbukumbu za kijamii, kidini na kisiasa. Kijiji hiki kimejulikana kwa mshikamano wa wakazi wake, heshima kwa wazee na uthamini wa elimu, hasa elimu ya dini ya kiislamu. Miongoni mwa koo zinazohusishwa na historia ya kijiji hicho ni ukoo wa Sheikh Rashid bin Slim bin Salim Al-Ghaithiy ambaye alikuwa ni mmoja watu walikuwa karibu na Sultan wa Zanzibar Sayyid Khalifa vile vile Sheikh Rashid Bin Slim alikuwa sahib mkubwa wa mshair mashuhuri na mtunzi wa vitabu mwenye asili ya Oman Nasser Bin Salim Al Rawahiy maarufu (Abu Muslim Ali Bahlan) ambaye alitambuliwa rasmi Tarehe 14 Novemba mwaka 1919 na Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la umoja wa Maitafa (UNESCO) kutokana na mchango wake.