Перейти к содержимому

“NANI ANAMCHUNGUZA NANI?”- CHADEMA YATIA SHAKA TUME YA JAJI LILA

TMC NEWS TV

0:00 / 0:00

“NANI ANAMCHUNGUZA NANI?”- CHADEMA YATIA SHAKA TUME YA JAJI LILA

1 029 просмотров · 3 дня назад
TMC NEWS TV
41,3 тыс. подписчиков
1 029 просмотров · 3 дня назад
Kamati Kuu ya CHADEMA imeibua maswali kuhusu uhuru na mamlaka ya Tume ya Uchunguzi wa Makosa ya Jinai iliyoundwa kuchunguza matukio yaliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2025. CHADEMA inahoji namna tume hiyo inavyoweza kutoa uchunguzi huru endapo mamlaka iliyoianzisha nayo inahusishwa katika hoja zinazopaswa kuchunguzwa. Chama hicho kimerejea pia kanuni ya kisheria “no one should be a judge in his own cause” na kusema tume hiyo haiwezi kuaminika kutoa ukweli unaohitajika. Tazama video kamili kusikia hoja za CHADEMA kuhusu Tume ya Jaji Chande na kwa nini imesema “HAITAMBUI.” NEWS | Shaping The Future Asante kwa kufuatilia TMC NEWS. Subscribe, Like na Share ili kuendelea kupata habari za uhakika, matangazo ya moja kwa moja na uchambuzi wa kina kutoka Tanzania na duniani. 🔔 Washa arifa (Notifications) ili usipitwe na taarifa muhimu. 📢 Kwa matangazo, ushirikiano na maoni: 📧 tmcnewsmedia@gmail.com 📞 +255 674 075 414 🌐 Tufuatilie kwenye mitandao yote ya kijamii: @tmcnewsmedia #TMCNews #ShapingTheFuture #BreakingNews #TanzaniaNews #LiveNews#TMCNEWS565 #TMCNEWS #CHADEMA #JajiChande #TumeYaUchunguzi #Uchaguzi2025 #Tanzania #Demokrasia #HabariTanzaniaTMC