Перейти к содержимому

MAHOJIANO MAALUMU NA KATIBU MKUU WA ZANSEED FOUNDATION | ZANSEED ONLINE TV ##ZANSEEDNewUpdates

ZANSEED TV

0:00 / 0:00

MAHOJIANO MAALUMU NA KATIBU MKUU WA ZANSEED FOUNDATION | ZANSEED ONLINE TV ##ZANSEEDNewUpdates

39 просмотров · 8 дней назад
ZANSEED TV
68 подписчиков
39 просмотров · 8 дней назад
MAHOJIANO MAALUMU NA KATIBU MKUU WA ZANSEED FOUNDATION | ZANSEED ONLINE TV Katika mwendelezo wa kuwafahamu viongozi wapya wa ZANSEED Foundation, safari hii tunakuletea mahojiano maalumu na Katibu Mkuu wa ZANSEED Foundation. Kupitia mahojiano haya, tunakupa fursa ya kumfahamu zaidi kiongozi wetu na kusikia ujumbe wake kuhusu nafasi yake ndani ya taasisi. Tazama mahojiano kamili hadi mwisho ili usikose maelezo muhimu kutoka kwa Katibu Mkuu wetu. SWALI KWAKO: Ungependa kufahamu nini zaidi kuhusu Katibu Mkuu wa ZANSEED Foundation? Andika swali lako kwenye sehemu ya maoni. LIKE | COMMENT | SUBSCRIBE | SHARE SUBSCRIBE kwenye ZANSEED ONLINE TV kwa mahojiano zaidi, taarifa na shughuli za ZANSEED Foundation. ZANSEED FOUNDATION Empowering Communities, Sustaining the Future. #ZANSEEDNewUpdates #ZANSEEDOnlineTV #ZANSEEDFoundation #Leadership #Zanzibar