PADRI ALIKULA KONDOO BILA KUJUA NI MPANGO WA SHETANI | The Exorcism of God
Swahilimaktaba
0:00 / 0:00
PADRI ALIKULA KONDOO BILA KUJUA NI MPANGO WA SHETANI | The Exorcism of God
42 117 просмотров · 4 месяца назад
Swahilimaktaba
20,3 тыс. подписчиков
42 117 просмотров · 4 месяца назад
Katika video hii tunachambua hadithi ya kutisha ya padri aliyekuwa akijaribu kupambana na nguvu za giza, lakini mambo yakageuka na kuwa mabaya zaidi kuliko alivyotarajia. Baada ya kufanya exorcism iliyoshindikana, maisha yake yanabadilika kabisa pale anapoanza kufichua siri nzito iliyomfanya kuwa sehemu ya mpango wa kishetani bila kujua.
Kadri muda unavyoenda, anagundua kuwa vita yake si tu dhidi ya mapepo, bali pia dhidi ya nafsi yake mwenyewe. Je, ataweza kujikomboa au tayari amechelewa? 😱
Video hii inaelezea kwa ufupi na kwa kina matukio yote ya kusisimua, ya kutisha na ya kushangaza kutoka kwenye filamu hii maarufu ya horror.
🔥 Usisahau ku-like, ku-comment na ku-subscribe kwa recap zaidi za filamu za kutisha!