Jinsi ya Ku-Activate Lipa Namba ya Vodacom Baada ya Usajili
Chaza Tech
0:00 / 0:00
Jinsi ya Ku-Activate Lipa Namba ya Vodacom Baada ya Usajili
73 просмотра · 2 дня назад
Chaza Tech
123 подписчика
73 просмотра · 2 дня назад
Umesajili Lipa Namba ya Vodacom na usajili wako umekamilika? Katika video hii nitakuonyesha jinsi ya ku-activate Lipa Namba ya Vodacom baada ya usajili, hatua kwa hatua.
Video hii itakusaidia kuelewa hatua unazohitaji kufuata ili kuanza kutumia Lipa Namba yako kwa ajili ya kupokea malipo ya biashara.
📌 Katika video hii utajifunza:
✅ Jinsi ya ku-activate Lipa Namba baada ya usajili
✅ Hatua za kuanza kutumia Lipa Namba yako
✅ Jinsi ya kuangalia kama Lipa Namba imekuwa active
✅ Mambo muhimu ya kuzingatia baada ya activation
✅ Jinsi ya kuanza kupokea malipo kupitia Lipa Namba
💡 Kama bado hujui jinsi ya kusajili Lipa Namba ya Vodacom, angalia video yangu ya kwanza inayokuelekeza jinsi ya kusajili Lipa Namba hatua kwa hatua.
👍 Kama video imekusaidia, usisahau LIKE, COMMENT, na SUBSCRIBE kwenye CHAZA TECH kwa tutorials zaidi za teknolojia, biashara na huduma za kidigitali.
📺 CHAZA TECH — Tech kwa lugha rahisi.
#LipaNamba #Vodacom #VodacomTanzania #LipaNambaVodacom #ChazaTech #Biashara #Tanzania