Fungua Gmail Account Mpya Kwa Urahisi
Chaza Tech
0:00 / 0:00
Fungua Gmail Account Mpya Kwa Urahisi
1 029 просмотров · 5 месяцев назад
Chaza Tech
124 подписчика
1 029 просмотров · 5 месяцев назад
Karibu kwenye Chaza Tech 😊
Kwenye video hii utajifunza jinsi ya kufungua Google Account (Gmail account) hatua kwa hatua kwa kutumia simu yako. Ukifungua account ya Google utaweza kutumia Gmail, YouTube, Play Store, Google Drive na huduma nyingine nyingi za Google.
✅ Jinsi ya kucreate Gmail mpya
✅ Kuweka password salama
✅ Kuthibitisha namba ya simu
✅ Tips za kulinda account yako
Usisahau ku-Like 👍
Comment 💬
Na Subscribe 🔔 kwa mafunzo zaidi ya technology.
#GoogleAccount #Gmail #ChazaTech #TechTutorial #AndroidTips