🔴 LIVE: PAUL MWANGOSI (24 HOURS WORSHIP 03 - 04 APR 2026) EP 1
Paul Mwangosi
0:00 / 0:00
🔴 LIVE: PAUL MWANGOSI (24 HOURS WORSHIP 03 - 04 APR 2026) EP 1
4 124 просмотра · Трансляция закончилась 5 месяцев назад
Paul Mwangosi
50,6 тыс. подписчиков
4 124 просмотра · Трансляция закончилась 5 месяцев назад
bada ya 24 Hours Worship in the Blood of Jesus
YOHANA 12:32 Nami nikiinuliwa juu ya nchi, nitawavuta wote kwangu.
Mungu anataka tukae nae muda mrefu kuliko vile sisi tumezoea.
Karibu pia katika Madarasa ya kumwabudu Mungu aliye hai
Lengo kubwa ni kumuandalia Mungu watu walio beba Ibada mioyoni mwao
Na ndiyo maana huduma hii inaitwa Moyo wa Ibada kwa kusudi la kurudisha
Mahusiano ya ndani kati ya Mungu na Mwanadamu kurudisha hamu ya kukaa na BWANA
Unaweza kutuma Sadaka;
M-Pesa 0752 883 358
Mixx by Yas 0653 744 955
Airtel Money 0699 629 688
CRDB Bank 0152631117200
Jina Paul Mwangosi.
Lakini pia unaweza kutuma Maombi na Mahitaji yako kwa namba hizo hapo juu.