Перейти к содержимому

PAUL MWANGOSI: TOFAUTI YA MAOMBI YA TOBA NA MOYO WA TOBA

Paul Mwangosi

0:00 / 0:00

PAUL MWANGOSI: TOFAUTI YA MAOMBI YA TOBA NA MOYO WA TOBA

381 просмотр · 3 месяца назад
Paul Mwangosi
50,6 тыс. подписчиков
381 просмотр · 3 месяца назад
Ipo tofauti kati ya moyo wa Toba na maombi ya Toba Moyo wa Toba unakupa nafasi ya kujitathimini kila wakati Moyo wa Toba hausubiri ukosee mahali Moyo wa Toba ni lango la Unyenyekevu Moyo wa Toba unakupa kuhesabu na kuthamini Maombi ya Toba yanasubiri sababu au kosa ndipo uombe Maombi ya Toba mara nyingi yanatafuta makosa fulani. Mungu akupe moyo wa Toba maana ni mfumo wa kila siku. Kama unahitaji Ushauri zaidi au maombi tumia namba hii kwa WhatsApp namba hii +255752 883 358 NAMBA ZA SADAKA NI HIZI +255743 133 677 M-pesa +255710 194 185 Mix by Yas Account Bank CRDB BANK 0152631117200 NJIA ZOTE JINA NI PAUL MWANGOSI