Перейти к содержимому

Kabla haujanunua au kuanza kazi ya uendeshaji Bajaji; fahamu mambo MUHIMU kuhusu biashara hii

Mwananchi Digital

0:00 / 0:00

Kabla haujanunua au kuanza kazi ya uendeshaji Bajaji; fahamu mambo MUHIMU kuhusu biashara hii

17 183 просмотра · 3 года назад
Mwananchi Digital
1,22 млн подписчиков
17 183 просмотра · 3 года назад
Vijana wengi wamekuwa wakijiajiri kwa kupitia biashara ya usafirshaji wa bajaji huku zikikadiriwa hadi sasa kufikia bajaji 600 kwa jiji la Dodoma. Mwananchi Digital imeingia mtaani na kuzungumza na Madereva hao ambao wanaeleza jinsi wanavyojiajiri wengi wao wakiwa wanatoka Vyuoni.