MWANAMKE ALIEFUNDISHA SHULE ZA INTERNATIONAL, KAACHA NA KUWA DEREVA BAJAJI
Millard Ayo
0:00 / 0:00
MWANAMKE ALIEFUNDISHA SHULE ZA INTERNATIONAL, KAACHA NA KUWA DEREVA BAJAJI
22 794 просмотра · 7 лет назад
Millard Ayo
6,2 млн подписчиков
22 794 просмотра · 7 лет назад
Irene Mahali ni Mama wa familia ya mume na Watoto wawili na makazi yake ni Dodoma, Baada ya kuhitimu elimu yake ya Chuo alifanya kazi ya Ualimu kwa miaka 6 kwenye shule za binafsi na baadae aliamua kuacha na kujiajiri mwenyewe kwa kubeba abiria kwa kutumia bajaji yaani Dereva bajaji kituo cha Tanesco Dodoma.