Перейти к содержимому

Uwanja wa gofu Serengeti kuongeza idadi ya watalii | UTV Tanzania

UTV Tanzania

0:00 / 0:00

Uwanja wa gofu Serengeti kuongeza idadi ya watalii | UTV Tanzania

480 просмотров · 3 дн. назад
UTV Tanzania
186 тыс. подписчиков
480 просмотров · 3 дн. назад
Unajua kuwa ndani ya Mbuga ya Wanyama Serengeti kuna uwanja wa gofu?. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), Catherine Mbena anaeleza ubunifu wa ujenzi wa uwanja wa gofu na namna unavyoboresha utalii nchini. Mbena ameongeza kuwa tayari watalii wa kimataifa wameshaanza kutumia uwanja huo.