Перейти к содержимому

Ugomvi wa BASATA na wasanii huu hapa | UTV Tanzania | UTV Tanzania

UTV Tanzania

0:00 / 0:00

Ugomvi wa BASATA na wasanii huu hapa | UTV Tanzania | UTV Tanzania

185 просмотров · 3 дн. назад
UTV Tanzania
187 тыс. подписчиков
185 просмотров · 3 дн. назад
Kumbeeeeee……kinachowagharimu wasanii mbele ya Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) na kusababisha baadhi ya kazi zao kufungiwa ni kukosa uelewa wa kazi ipi ya sanaa, ipandishwe kwenye jukwaa lipi, ili iendane na hadhira lengwa. Ufafanuzi zaidi unatolewa na Ofisa Sanaa Mwandamizi wa BASATA, Abel Ndaga.