KITAMBO BADO cover by Steve Damas Uwimana
Steve Damas Uwimana
0:00 / 0:00
KITAMBO BADO cover by Steve Damas Uwimana
234 просмотра · 1 месяц назад
Steve Damas Uwimana
1,05 тыс. подписчиков
234 просмотра · 1 месяц назад
KITAMBO BADO – VITA ITAISHA
1
Kitambo bado vita itaisha,
kitambo na dhoruba zitapoa.
Na tena nitaalaza kichwa changu,
mabavuni mwake anayenipenda.
Nitaziona raha na amani,
mbinguni hazitakuwapo dhambi.
2
Kitambo bado roho yaumizwa,
kitambo katika usiku huku.
Machozi ninatoka mara nyingi,
sababu sijaona bado Yesu.
Lakini asubuhi ya milele huko,
mbinguni sitalia tena.
3
Kitambo bado ya kuchoka huku,
kitambo tena nitaona Yesu.
Na huru mbali na hatari zote,
nitastarehe mikononi mwake.
Uvuvi wote utaondolewa,
kwa nuru huko kamilifu kweli.
4
Mateso yangu hayadhuru tena,
nitasahau yote kwa Yesu.
Nikisimuka muda duniani,
mbinguni sitaona shida, kufa.
Na Mungu atafuta kila chozi,
ataondoa maumivu yote.