SIKU MOJA MAVUNO cover by Steve Damas Uwimana
Steve Damas Uwimana
0:00 / 0:00
SIKU MOJA MAVUNO cover by Steve Damas Uwimana
1 051 просмотр · 1 месяц назад
Steve Damas Uwimana
1,05 тыс. подписчиков
1 051 просмотр · 1 месяц назад
SIKU MOJA MAVUNO
1.
Siku moja mavuno yataisha kabisa,
baada ya hayo hukumu.
Jua litazimika siku hiyo ya mwisho,
na hutasisikia injili.
Refrain:
Atakusanaya ngano kwa furaha,
ghalani bali makapi yote,
yatatupewa motoni rafiki utakuwa wapi?
2.
Mahubiri na nyimbo za wokovu
wa Mungu zitakaponyamaza huku,
uliyelikataa neno zuri la Mungu,
utakaa wapi milele?
Refrain:
Atakusanaya ngano kwa furaha,
ghalani bali makapi yote,
yatatupewa motoni rafiki utakuwa wapi?
3.
Watu wote wa Mungu wafikapo mbinguni,
kukaa pamoja na Yesu,
wataimba kabisa kwa sauti ngumu,
kumshangilia mwokozi.
Refrain:
Atakusanaya ngano kwa furaha,
ghalani bali makapi yote,
yatatupewa motoni rafiki utakuwa wapi?