FULL STORY KUHUSU ALBERT KANGWANDA KUTOKA KUCHEZA ZAMBIA, SUDAN, ULAYA (CROATIA) HADI YANGA SC
MAHALI 360
0:00 / 0:00
FULL STORY KUHUSU ALBERT KANGWANDA KUTOKA KUCHEZA ZAMBIA, SUDAN, ULAYA (CROATIA) HADI YANGA SC
1 365 просмотров · 12 дн. назад
MAHALI 360
224 подписчика
1 365 просмотров · 12 дн. назад
Kutoka Zambia 🇿🇲, akaenda Croatia 🇭🇷, akapitia Sudan 🇸🇩 na Moldova 🇲🇩, akakutana na changamoto, akarudi nyumbani...
Na kisha akalipuka kwa msimu mkubwa akiwa Red Arrows, akifunga mabao 17 na kutoa assists 9 na kutwaa tuzo ya MVP wa Zambia Super League. 🔥
Safari hiyo ndiyo iliyomfikisha Jangwani...
Sasa Albert Kangwanda anaivaa jezi ya Yanga SC 🟢🟡 na tayari ameanza kuonyesha kwanini Yanga ilimhitaji.
Lakini unajua story yake yote?
Katika video hii tunakuletea story ya Albert Kangwanda kwa undani:
⚽ Mwanzo wa safari yake Zambia
🇭🇷 Safari yake ya Ulaya
🇸🇩 Al-Hilal Omdurman
🇲🇩 Safari yake Moldova
🔥 Msimu wake mkubwa Red Arrows
🏆 MVP wa Zambia Super League
🟢🟡 Na hatimaye safari yake hadi Yanga SC
🎥 Tazama video mpaka mwisho ujue story nzima ya Albert Kangwanda.
💬 Unaamini Kangwanda ataifungia Yanga mabao mangapi msimu huu?
🔔 Usisahau KUSUBSCRIBE
👍 LIKE
💬 COMMENT
🔄 SHARE
#AlbertKangwanda #YangaSC #Yanga #Wananchi #TanzaniaFootball #Zambia #NBCPremierLeague #CAFChampionsLeague