Перейти к содержимому

🔥MJUE PETER SHALULILE KUTOKA KUCHEZA LIGI DARAJA LA PILI, MAMELODI HADI YANGA🟢🟡

MAHALI 360

0:00 / 0:00

🔥MJUE PETER SHALULILE KUTOKA KUCHEZA LIGI DARAJA LA PILI, MAMELODI HADI YANGA🟢🟡

356 просмотров · 2 нед. назад
MAHALI 360
225 подписчиков
356 просмотров · 2 нед. назад
Kutoka Namibia, kupitia Tura Magic na Highlands Park, hadi Mamelodi Sundowns 🇿🇦 ambako aliweka rekodi, akashinda mataji mbalimbali na kuwa mmoja wa washambuliaji waliotengeneza historia kwenye soka la Afrika Kusini. Sasa Peter Taanyanda Shalulile yupo Tanzania, akiwa amevaa jezi ya Yanga SC. 🟢🟡 Lakini je, unajua safari yake ilikuwaje kabla hajafika Jangwani? 🤔 Katika video hii tunakuletea story yake kwa undani: ⚽ Mwanzo wa safari yake Namibia ⚽ Tura Magic na Highlands Park ⚽ Safari yake Mamelodi Sundowns ⚽ Mabao na rekodi alizoweka 🏆 Mataji aliyowahi kushinda 🇳🇦 Safari yake na timu ya taifa ya Namibia 🟢🟡 Na hatimaye kuhamia Yanga SC 🎥 Tazama video mpaka mwisho ujue story nzima ya Peter Shalulile. 💬 Unaonaje usajili wa Shalulile Yanga? Na unadhani ataifungia Yanga mabao mangapi msimu huu? 🔔 Usisahau KUSUBSCRIBE 👍 LIKE 💬 COMMENT 🔄 SHARE #PeterShalulile #YangaSC #Yanga #Wananchi #MamelodiSundowns #TanzaniaFootball #Namibia #NBCPremierLeague #CAFChampionsLeague