Перейти к содержимому

Mgombea Ubunge Bkari Shingo avamiwa na kundi la vijana, Gari lavunjwa vioo vyote

SamMisago

0:00 / 0:00

Mgombea Ubunge Bkari Shingo avamiwa na kundi la vijana, Gari lavunjwa vioo vyote

3 161 просмотр · 10 месяцев назад
SamMisago
929 тыс. подписчиков
3 161 просмотр · 10 месяцев назад
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Ukonga kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Bakari Shingo, amevamiwa na kundi la watu vijana wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), tukio lililotokea katika eneo la Pugu Mpakani, wilayani Ilala, jijini Dar es Salaam Tukio hilo, ambalo limetokea katika nyumba ya Mzee Seleman Karanje, mwana CCM anayeishi katika eneo hilo, limeripotiwa kuhusisha vurugu, uharibifu wa mali na madai ya wizi wa fedha