KUWA NA "SELF-DOUBT" SIYO TATIZO KABISA. TATIZO NI JINSI UNAVYOKABILIANA NAYO.
Ujuzi Academy
0:00 / 0:00
KUWA NA "SELF-DOUBT" SIYO TATIZO KABISA. TATIZO NI JINSI UNAVYOKABILIANA NAYO.
51 просмотр · 3 года назад
Ujuzi Academy
270 подписчиков
51 просмотр · 3 года назад
Watu wengi wamekuwa wakiniuliza maswali haya;
1. Ninawezaje kushinda hali ya kutojiaminia na kuacha Ku-doubt uwezo wangu binafsi?
2. Nitawezaje kujenga uwezo wa kujiamini katika kile ninachokifanya?
3. Kwanini mara nyingi niktaka kufanya kitu, najihisi sina uwezo wa kutosha hasa ninapojilinganisha na watu wengine?
Najua pengine unajiuliza maswali kama hayo, au kwa muda mrefu umekuwa ukitafuta namna ya kujenga uwezo wa kujiamini na kushinda hofu inayotokana na "SELF-DOUBT".
Naamini baada ya kusikiliza hii Video utakuwa umejifunza kitu kikubwa katika maisha yako, na itakuongezea uwezo wako wa kujiamini zaidi katika kile unachotaka kufanya au unachokifanya sasa hivi.
Kila kheri.
Unlock and Live your Dream.
Edwin FM