Перейти к содержимому

Sababu Kuu 3 Kwanini Unashindwa Kujiamini (Namba 2 Inakwamisha Watu Wengi Kufikia Malengo Yao)

Ujuzi Academy

0:00 / 0:00

Sababu Kuu 3 Kwanini Unashindwa Kujiamini (Namba 2 Inakwamisha Watu Wengi Kufikia Malengo Yao)

46 просмотров · 2 г. назад
Ujuzi Academy
270 подписчиков
46 просмотров · 2 г. назад
Siyo kwamba hauna MALENGO, NDOTO au MAONO juu ya MAISHA yako!! Uwezo wako wa KUJIAMINI au kuamini katika UWEZO wako huenda ndiyo mdogo. Ni mara ngapi umeshindwa kuanzisha au kuendeleza jambo fulani kwa sababu ya hofu ya kugopa watu watakuonaje, watakuchukuliaje au watakufikiriaje? Ni mara nagpi unajishuku na kudunisha uwezo wako kwa kujiona haufai, hauwezi au wewe ni wa kushindwa/kufeli tu. Kupitia SOMO hili utajifunz hatua kwa hatua namna ya KUJENGA NGUVU YA KUJIAMINI ili uweze kupiga hatua katika kile kitu unachokifanya. #unlockyourpotential #unlockandliveyourdream #mafanikio #ndoto